Kagere, Morrison kuongoza mashambulizi dhidi ya Red Arrows..Inonga kama kawa

>Kagere, Morrison to lead the attack line against the Red Arrows


Strikers Medie Kagere and Bernard Morrison are set to take the lead in our Africa Cup of Nations rematch against the Red Arrows at Heroes Stadium in Zambia at 10pm.

The two have had a great rapport on the field something that our technical bench under Coach Pablo Franco has decided to put together.

Kagere and Morrison will receive close support from attacking midfielders Rally Bwalya as well as Hassan Dilunga.

Henock Inonga and Pascal Wawa will stand as central defenders with protection from attacking midfielders Jonas Mkude and Sadio Kanoute.

A full squad:

Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Pascal Wawa (6), Henock Inonga (29), Jonas Mkude (20), Hassan Dilunga (24), Sadio Kanoute (13), Medie Kagere (14), Rally Bwalya (8), Bernard Morrison (3).

SUB's Players

Beno Kakolanya (30), Shomari Kapombe (12), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Erasto Nyoni (18), Peter Banda (11), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22) Ibrahim Ajibu ( 10).


Mshambuliaji Medie Kagere na Bernard Morrison wamepangwa kuongoza mashambulizi katika mchezo wetu wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows utakaopigwa Uwanja wa Heroes hapa Zambia saa 10 jioni.

Wawili hao wamekuwa na uelewano mkubwa uwanjani kitu ambacho benchi letu la ufundi chini ya Kocha Pablo Franco limeamua kuwaanzisha pamoja.

Kagere na Morrison watapata msaada wa karibu kutoka kwa viungo washambuliaji Rally Bwalya pamoja na Hassan Dilunga.

Henock Inonga na Pascal Wawa watasimama kama mabeki wa kati wakipata ulinzi kutoka kwa viungo wakabaji Jonas Mkude na Sadio Kanoute.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Israel Patrick (5), Mohamed Hussein (15), Pascal Wawa (6), Henock Inonga (29), Jonas Mkude (20), Hassan Dilunga (24), Sadio Kanoute (13), Medie Kagere (14), Rally Bwalya (8), Bernard Morrison (3).

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Shomari Kapombe (12), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Erasto Nyoni (18), Peter Banda (11), Mzamiru Yassin (19), John Bocco (22) Ibrahim Ajibu (10).

Post a Comment

0 Comments