Ibrahim Ajibu, Banda, Gadiel kuanza dhidi ya Geita Gold FC

>Ibrahim Ajibu, Banda, Gadiel to start against Geita Gold FC


Striker Ibrahim Ajibu and winger Peter Banda are set to start in the squad to face Geita Gold today in a game to be played at Benjamin Mkapa Stadium at 1pm.

Ajibu and Banda have often been off the bench and changing the game something that has prompted Coach Pablo Franco to introduce them.

Ajibu is lined up as a left winger while Banda is on the right to assist Captain John Bocco and Kibu Denis who will lead the attack.

Left-back Gadiel Michael has also started in today's game replacing Mohamed Hussein who is on the bench with Kennedy Juma joining the squad.

A full squad:

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Kennedy Juma (26), Jonas Mkude (20) Peter Banda (7), Rally Bwalya (8), John Bocco ( 22), Kibu Denis (38), Ibrahim Ajibu (10)

SUB'S Players

Beno Kakolanya (30), Erasto Nyoni (18), Mohamed Hussein (15), Pascal Wawa (6), Mzamiru Yassin (19), Hassan Dilunga (24), Medie Kagere (14), Bernard Morrison (3) Yusuph Mhilu ( 27).


Kiungo mshambuliaji Ibrahim Ajibu na winga Peter Banda wamepangwa kuanza katika kikosi kitakachoikabili Geita Gold leo katika mchezo utakaopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa saa moja usiku.

Ajibu amepangwa kama winga wa kushoto wakati Banda akiwa kulia kuwasaidia Nahodha John Bocco na Kibu Denis ambao wataongoza mashambulizi.

Mlinzi wa kushoto Gadiel Michael pia ameanza katika mchezo wa leo akichukua nafasi ya Mohamed Hussein ambaye yupo benchi huku Kennedy Juma akiingia kikosini.

Kikosi kamili kilivyopangwa

Aishi Manula (28), Shomari Kapombe (12), Gadiel Michael (2), Joash Onyango (16), Kennedy Juma (26), Jonas Mkude (20) Peter Banda (7), Rally Bwalya (8), John Bocco (22), Kibu Denis (38), Ibrahim Ajibu (10)

Wachezaji wa Akiba

Beno Kakolanya (30), Erasto Nyoni (18), Mohamed Hussein (15), Pascal Wawa (6), Mzamiru Yassin (19), Hassan Dilunga (24), Medie Kagere (14), Bernard Morrison (3)Yusuph Mhilu (27).


Post a Comment

0 Comments