Pablo: Tuko tayari kuikabili Ruvu Shooting kesho

>



Pablo: We are ready to face Ruvu Shooting tomorrow


Head Coach Pablo Franco, said the team is ready for tomorrow's NBC Premier League match against Ruvu Shooting to be played at CCM Kirumba Stadium at 10pm.

Pablo said the players are trying to show what they have in practice and morale is high to ensure we get all the marks.

Pablo added that Ruvu are a good team and play team and watched them via video in the game against Yanga and he believes it will be a tough match but we are determined to win.

Pablo has gone so far as to say that despite missing some of our stars for various reasons but it does not give us a reason to lose the match as Simba SC is a great team and has many good players.

"We are ready for tomorrow's game, the players are perfect and morale is high and we are determined to make sure we win. Ruvu is a good team playing well we believe they will give us a tough match, "said Pablo.


Kocha Mkuu Pablo Franco, amesema timu iko tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa katika Uwanja wa CCM Kirumba saa 10 jioni.

Pablo amesema wachezaji wanajitahidi kuonyesha walicho nacho mazoezini na morali ipo juu kuhakikisha tunapata alama zote.

Pablo ameongeza kuwa Ruvu ni timu nzuri na inacheza kitimu na aliwatazama kupitia mkanda wa video katika mchezo dhidi ya Yanga na anaamini itakuwa mechi ngumu lakini tumejipanga kushinda.

“Tuko tayari kwa mchezo wa kesho, wachezaji wapo  kamili na morali ipo juu na tumejipanga kuhakikisha tunashinda. Ruvu ni timu nzuri inacheza vizuri tunaamini watatupa mechi ngumu,” amesema Pablo.

Post a Comment

0 Comments