Ukweli kuhusu Henock Inonga Baka kuitwa timu ya taifa Congo na kutokwenda

>The truth about Henock Inonga Baka being called the Congolese national team and not going


Manager Patrick Rweyemamu has made it clear that the club was informed of a call-up to DR Congo national team defender Henock Inonga Baka in preparation for the World Cup qualifier against Madagascar.

Rweyemamu said the club had received an official letter from DR Congo about being named Inonga and that was why his name was included in our 16 players named in their national teams.

Manager Rweyemamu added that but in the last squad that played against Madagascar his name was removed and that is why he is in training with his teammates.

"We received a letter from the DR Congo national team preparing for the game against Madagascar asking our defender Henock Inonga to join the original squad but he was later left to wait if he was needed," said Rweyemamu.

In our statement we listed Inonga's name among our 16 players named in their national teams and we were right because we received an official letter from DR Congo.


Meneja Patrick Rweyemamu ameweka wazi kuwa klabu ilitumiwa taarifa kuhusu kuitwa kwenye kikosi cha awali cha Timu ya Taifa ya DR Congo mlinzi Henock Inonga Baka kinachojiandaa na mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Madagascar.

Rweyemamu amesema klabu imetumiwa barua rasmi na DR Congo kuhusu kuitwa Inonga na ndio sababu jina lake likajumuishwa kwenye wachezaji wetu 16 walioitwa timu zao za taifa.

“Tulipokea barua kutoka timu ya Taifa ya DR Congo inayojiandaa na mchezo dhidi ya Madagascar kumtaka mlinzi wetu Henock Inonga kujiunga nayo katika kikosi cha awali lakini baadaye aliachwa kusubiri kama atahitajika,” amesema Rweyemamu.


Post a Comment

0 Comments