Simba yapangwa na Red Arrows ya Zambia Kombe la Shirikisho Afrika

>Simba SC are scheduled to play with Red Arrows FC from Zambia in CAF Confederation Cup 


Our team is scheduled to play with Red Arrows FC from Zambia in the CAF Confederations Cup knockout match.

The draw for the tournament took place in Cairo, Egypt this afternoon where both teams are looking for a ticket to the group stage.

Our squad will travel to Zambia on November 28 before the rematch in Dar es Salaam on December 5.


Timu yetu imepangwa kucheza na timu ya  Red Arrows FC kutoka Zambia katika mchezo wa mtoano wa Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Droo ya michuano hiyo imefanyika jijini Cairo nchini Misri mchana huu ambapo timu zote zinatafuta tiketi ya kuingia hatua ya makundi.

Kikosi chetu kitaanzia ugenini nchini Zambia Novemba 28 kabla ya mchezo wa marudiano utakaofanyika jijini Dar es Salaam, Desemba 5.

Post a Comment

0 Comments