Gomes:- Tumepata njia sahihi ya kucheza mechi za Ligi Kuu

>


Gomes: - We have found the right way to play Premier League matches


Tanzania Football Champions head coach Simba SC Didier Gomes said after playing two Premier League games this season 2021/22, he has learned something that will help his team in the next games.

Gomes witnessed his side start with a 0-0 draw against Biashara United Mara, then emerge with a 1-0 win over Dodoma City FC in Dodoma.

The French coach said that when they started the season away, his players were unaware of the difficulties and challenges of the Premier League competition this season, which is why things seemed difficult for them.

He said in recognition of this, his players have learned how to decorate against Premier League participating teams this season, so when they return after taking a break from the international tournament they will be very different.

"We started off with a hard time this season because we didn't know how the league was going and that made us realize how we could go.

"At the moment we know what kind of league it is and the style that is required we will go right and our belief is to see that we get positive results in our matches that we will play," said coach Gomes.

Simba SC owns 4 points which puts them in fifth place in the standings of the Tanzania Premier League this season 2021/22, after playing two games against Biashara United Mara and Dodoma Jiji FC. 


Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania  Simba SC Didier Gomes amesema baada ya kucheza michezo miwili ya Ligi Kuu msimu huu 2021/22, amejifunza jambo ambalo litakisaidia kikosi chake kwenye michezo inayofuata.

Gomes alishuhudia kikosi chake kikianza kwa sare ya 0-0 dhidi ya Biashara United Mara, kisha kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC mjini Dodoma.

Amesema kwa kutambua hilo, wachezaji wake wamefahamu namna ya kupamba dhidi ya timu shiriki za Ligi Kuu msimu huu, hivyo watakaporejea baada ya kupisha mapumziko ya michuano ya kimataifa watakua na utofauti mkubwa.

“Tulianza kwa shida msimu huu kwa kuwa hatukujua ligi inakwendaje na hilo limetufanya tuweze kujua namna gani tunaweza kwenda hiloawali lilitufanya tukashindwa kupata ushindi mchezo wetu wa kwanza mbele ya Biashara United.

Simba SC inamiliki alama 4 zinazoiweka katika nafasi ya tano katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania  msimu huu 2021/22, baada ya kucheza michezo miwili dhidi ya Biashara United Mara na Dodoma Jiji FC.

Post a Comment

0 Comments