Gomes: Nitabaki kuwa shabiki mkubwa wa Simba

>Gomes: I will remain a big fan of Simba SC


Former Head Coach Didier Gomes, has said Simba will remain in his heart and will continue to support it due to the great cooperation he received throughout his tenure.

Gomes has said he will continue to support the team in all competitions and wishes them all the best in a new life without him.

Gomes also thanked Investor Mohamed Dewji ‘Mo’ for the great co-operation he gave him, Chief Executive Barbara Gonzalez, the players, the technical bench and the fans for the great support they gave him.

"I have to be responsible for Sunday's result, we were already ahead by three goals with only 45 minutes left but the action of the opponents to equalize and give us away is an unbearable issue and I have decided to take responsibility.

"Simba remains my family, we have won two titles together, the Premier League and the Azam Sports Federation Cup, in close proximity to the life we ​​have lived I remain a number one fan and I wish you all the best," said Gomes.


Aliyekuwa Kocha Mkuu Didier Gomes, amesema Simba itabaki moyoni mwake na ataendelea kuishabikia kutokana na ushirikiano mkubwa alioupata muda wote aliokuwapo.

Gomes pia amemshukuru Mwekezaji Mohamed Dewji ‘Mo’ kwa ukishiriakiano mkubwa aliompa, Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez, wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki kwa sapoti kubwa waliyompa.

“Napaswa kuwajibika kwa matokeo ya Jumapili, tayari tulikuwa mbele kwa mabao matatu wakati tumebakiwa na dakika 45 tu lakini kitendo cha wapinzani kusawazisha na kututoa ni suala lisilovumilika na nimeamua kuwajibika.

“Simba inabaki kuwa familia yangu, tumepata mataji mawili pamoja,ya Ligi Kuu na Azam Sports Federation Cup, kwa ukaribu na maisha tuliyoishi nabaki kuwa shabiki namba moja na ninaitakia kila la heri,” amesema Gomes.

Post a Comment

0 Comments