Simba SC yaondoa hofu mashabiki kuelekea Simba Day

>Simba SC  removes fans' fears towards Simba Day


Simba's management has made it clear that everything at the moment towards Simba Day is fine with TP Mazembe Club confirming its participation and urging fans to turn out in large numbers for their festival.

The Simba Day Festival is expected to take place on September 19, Mkapa Stadium where it is expected to be the introductory day for the new jerseys, the players who will be used within the squad for the 2021/22 season.

Simba has already officially announced TP Mazembe Club from Congo to be at the festival where they will play a friendly match, Mkapa Stadium.

Acting  Information Officer, Ezekiel Kamwaga said that the preparations are well underway and they believe that they will entertain the team's fans.

"There is no fan who doesn't like to see good things and Simba is a great team. Our things must be for the fans and show what we have.

“Towards the Simba Day Festival we believe that we will do well.Fans are the time now to buy new jerseys that are available at all Vunja Bei stores.

"The team that we will plays against is great and the reason for doing so is to show that we also distinguish ourselves in the way we are. It is clear that the fans are important people we depend on.

"We will have a Simba Day week which will run from September 13 to the day of the festival itself and during this time it will be time to do social activities," he said.


Simba SC yaondoa hofu kwa mashabiki kuelekea Simba Day


UONGOZI  wa Simba umeweka wazi kuwa kila kitu kwa sasa kuelekea kwenye Simba Day kipo sawa huku Klabu ya TP Mazembe ikithibitisha ushiriki wake na kuwaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi kwenye tamasha lao.

Kaimu Ofisa Habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga amesema kuwa maandalizi yapo vizuri na wanaamini kwamba watawapa burudani mashabiki wa timu hiyo.

"Hakuna shabiki ambaye hapendi kuona vitu vizuri na Simba ni timu kubwa lazima mambo yetu yawe kwa ajili ya mashabiki na kuonyesha kile ambacho tunacho.

"Kuelekea kwenye Tamasha la Simba Day tunaamini kwamba tutafanya vizuri. Mashabiki ni muda sasa wa kununua jezi mpya ambazo zipo kwenye maduka yote ya Vunja Bei.

"Tutakuwa na wiki ya Simba Day ambayo itaanza Septemba 13 mpaka siku ya tamasha yenyewe na katika muda huu kutakuwa ni muda wa kufanya matendo ya kijamii," .

Post a Comment

0 Comments