Gomes:- Msimu huu tuna timu nzuri...mashabiki mtafurahi

>Gomes: - This season we have a good team ... fans will be happy


Despite losing the game by one goal against TP Mazembe, Coach Didier Gomes is satisfied with the standards of our players, a large percentage of whom are young, especially foreigners.

Gomes said the players need to be given time to get used to each other where he sees them continue to give the Simba fans the joy they need all the time.

Commenting on the match against Mazembe, Gomes said the game was balanced and we had a chance to score as it was for them but our teammates were strong in defense.

Gomes added that he has high hopes for our squad and towards various competitions we are going to do well.

"I did not like the outcome of the game but I am happy with the standards of the players. They played well and we had a chance to score.

"We could also stop the goal we scored but it has already happened, but my squad will continue to improve as the players and fans will be happy," said Gomes.


Pamoja na kupoteza mchezo kwa bao moja dhidi ya TP Mazembe, Kocha Didier Gomes ameridhishwa na viwango vya wachezaji wetu ambao asilimia kubwa ni vijana hasa wageni.

Gomes amesema wachezaji wanahitaji kupewa muda kuendelea kuzoeana ambapo anawaona wakiendelea kuwapa furaha mashabiki wa Simba ambayo wanaihitaji muda wote.

Akizungumzia mechi dhidi ya Mazembe, Gomes amesema mchezo ulikuwa na uwiano sawa na tulikuwa na nafasi ya kufunga kama ilivyokuwa kwao lakini wenzetu walikuwa imara kwenye ulinzi.

Gomes ameongeza kuwa ana matumaini makubwa na kikosi chetu na kuelekea kwenye mashindano mbalimbali tunaenda kufanya vizuri.

“Sikupenda matokeo ya mchezo lakini nimefurahishwa na viwango vya wachezaji. Wamecheza vizuri na tulikuwa na nafasi ya kupata mabao.


Post a Comment

0 Comments