DEAL DONE: Welcome Pape Ousmane, our new player for three year deal contract

>


Tanzania Premier League and Confederations Cup (ASFC) champions Simba SC, we have completed the signing of Senegalese midfielder Pape Ousmane Sakhoo on three years deal contract

The 24-year-old midfielder has been confirmed by Msimbazi, from Teungueth club in his home country.

Last season Pape was named Senegal's Premier League Player of the Year, which could be the reason for his signing within Simba SC.

However it is believed that Pappe is a direct replacement for Luis Jose Miquissone who joins Al Ahly of Egypt.


DEAL DONE : Pappe Ousamane amejiunga nasi kwa mkataba wa miaka mitatu


Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania na Kombe la Shirikisho (ASFC) Simba SC, tumekamilisha kumsajili kiungo kutoka Senegal Pape Ousmane Sakho.

Kiungo huyo mwenye umri wa miama 24 amethibitishwa Msimbazi, akitokea klabu ya Teungueth ya nchini kwao.

Msimu uliopita Pape alitangazwa kuwa mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya soka nchini Senegal, jambo ambalo linaweza kuwa sababu ya usajili wake ndani ya Simba SC.

Hata hivyo inaaminika kuwa Pappe ndiye  mbadala wa moja kwa moja wa Luis Jose Miquissone ambaye anajiunga na Al Ahly ya Misri.

Post a Comment

0 Comments