Zimbwe Jr calls on fans to celebrate the championship at Mkapa Stadium on Sunday

>


Assistant captain, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ has asked our fans to show up in large numbers in our Sunday game against Namungo FC for which we will be awarded our Vodacom Tanzania Mainland Premier League title for the 2020/21 season.

Zimbwe Jr said it would be nice if the fans would fill the Benjamin Mkapa Stadium in red and white to brighten up the championship shamra.

The left-back said we will make sure we get the win in the game because it would not be nice to be handed the title while we are tied or draw.

"We ask the fans to show up in large numbers on Sunday, we want the stadium to be decorated in red and white so that the championship shamra shamra match.

"Fans just come to the stadium and we are confident we will make them happy by winning. We are well prepared to ensure that the championship celebrations are washed away with victory, ”said Zimbwe Jr.

In addition, the defender added that if the players are prepared to make sure we take the championship again next season which will be the fifth time in a row.


Zimbwe Jr awaita mashabiki kusherekea ubingwa uwanja Mkapa Jumapili


Nahodha msaidizi, Mohamed Hussein ‘Zimbwe Jr’ amewataka mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi katika mchezo wetu wa Jumapili dhidi ya Namungo FC ambao tutakabidhiwa taji letu la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Msimu wa Zimbwe Jr amesema 2020/21.

itapendeza kama mashabiki wataujaza uwanja wa Benjamin Mkapa kwa rangi nyekundu na nyeupe ili kuzipendezesha shamra shamra za ubingwa.

Mlinzi huyo wa kushoto amesema tutahakikisha tunapata ushindi kwenye mchezo huo kwa sababu haitapendeza kukabidhiwa ubingwa huku tukiwa tumefungwa au kupata sare.

“Tunawaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi Jumapili, tunataka uwanja upambwe kwa rangi nyekundu na nyeupe ili shamra shamra za ubingwa zifane.

“Mashabiki waje tu uwanjani tuna imani tutawafurahisha kwa kupata ushindi. Tumejipanga vizuri kuhakikisha sherehe za ubingwa zinanogeshwa na ushindi,” amesema Zimbwe Jr.

Post a Comment

0 Comments