Simba vs Namungo | We will win and enjoy the championship crown

>


Today we will be awarded the Vodacom Premier League title for the 2020/21 season after our match against Namungo FC at 10pm at Benjamin Mkapa Stadium.

As a result, we urge our fans to turn out in large numbers to witness the championship and finish the Premier League in the 2020/21 season.

Towards today's game Assistant Coach, Seleman Matola has said they will use the full squad because we need to get the win to entertain the championship.

Matola said in the last two seasons we could not win a game in which we were handed the championship on the field something we do not want to happen today.

"We are determined to make sure we win today, it is good to be handed the championship after the victory. Namungo is a good team but we are determined to win.

"Basically our fans should show up in large numbers and that's why we will plan the full squad that we used all season because we plan to give them pleasure," said Matola.

TEAM STATEMENT

The squad is in good condition and the players are ready.

THE LAST MATCH WHEN WE MEET

When we met in the first round match played at Majaliwa Stadium, Ruangwa in Lindi region, on May 29 we emerged with a 3-1 victory.

The goals were scored by Chris Mugalu, John Bocco and Bernard Morrison who scored with a ball from the center of the box and into the back of the net.


Simba vs Namungo | Tutashinda na kufurahia taji la ubingwa 


Leo tutatunukiwa taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Msimu wa 2020/21 baada ya mchezo wetu dhidi ya Namungo FC utakaopigwa saa 10 jioni Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Kutokana na hatua hiyo, tunawaomba mashabiki wetu kujitokeza kwa wingi kushuhudia sherehe za ubingwa na kumaliza Ligi Kuu Msimu wa 2020/21.

Kuelekea mchezo wa leo Kocha Msaidizi, Seleman Matola amesema watatumia kikosi kamili sababu tunahitaji kupata ushindi ili kuburudisha sherehe za ubingwa.

Matola amesema katika misimu miwili iliyopita hatukuweza kupata ushindi kwenye mchezo ambao tulikabidhiwa ubingwa uwanjani kitu ambacho hatutaki kitokee leo.

Post a Comment

0 Comments