Simba vs Namungo | Our full squad to face Namungo, fans are called to the stadium

>


Towards the end of the 2020/21 Premier League season, the technical bench has made it clear today that we will bring down the full squad in the game against Namungo FC to which we will be awarded our championship.

In the last two matches we used some players who didn't get many chances to play this season but today is a festive day and we need a victory we will use a full squad.

Assistant Coach Seleman Matola said it was good to be handed the title after winning and that is why we will use the full squad that has been used all season.

Matola said in the last two seasons we were handed the championship but we lost and came out of the draw but for today we are determined to make sure we get the victory to celebrate the festival.

"First we are lucky with Namungo, last season we were handed the trophy in front of them but we came out of a draw, today we are going to be handed over again against them but it will not be a draw but a victory," said Matola.

Matola has asked our fans to show up in large numbers on the field because it is the last game in the league and it is also used to be handed the championship.

"Our fans have been with us all season, today is the last day and the championship so it will be great if they show up in large numbers. We promise them victory to accompany the championship, ”said Matola.


Kikosi kamili kuikabili Namungo, mashabiki waitwa uwanjani


Kuelekea kukamilisha msimu wa Ligi Kuu 2020/21, benchi la ufundi limeweka wazi leo tutashusha kikosi kamili katika mchezo dhidi ya Namungo FC ambao tutakabidhiwa taji letu la ubingwa.

Katika mechi mbili zilizopita tulitumia baadhi ya wachezaji ambao hawakupata nafasi nyingi za kucheza msimu huu lakini leo  ni siku ya sherehe na tunahitaji ushindi tutatumia kikosi kamili.

Kocha Msaidizi Seleman Matola amesema inapendeza kukabidhiwa ubingwa baada ya kupata ushindi na ndiyo maana tutatumia kikosi kamili ambacho kimetumika msimu mzima.

Matola amesema katika misimu miwili iliyopita tulikabidhiwa ubingwa lakini tumepoteza na kutoka sare lakini kwa leo tumejipanga kuhakikisha tunapata ushindi ili kunogesha sherehe.

Post a Comment

0 Comments