Gomes thanks players and leadership for the great success in this season

>


Head Coach Didier Gomes, said the success we achieved in the 2020/21 season was due to the competence of our players.

Gomes said defending the Azam Sports Federation Cup and reaching the quarter-finals of the African Champions League was due to the quality of the squad we have.

Despite the quality of the squad Gomes has commended the leadership of the club under the Chairman of the Board of Directors, Mohamed Dewji and Chief Executive Barbara Gonzalez for giving him great cooperation and making his work environment easier.

"This season we have had the best squad and deserved to win the league title and the Azam Sports title, I am very proud to work with these players who did everything to make sure we achieve our goals.

"The leadership also gave me great cooperation and I got everything I needed on time and made my work environment easier," said Gomes.

Gomes has already traveled to France for a 10-day break before returning to begin preparations for the new 202/22 season, August 8, this year.


Gomes ashukuru wachezaji na uongozi kwa mafaniko makubwa ya msimu huu


Kocha Mkuu Didier Gomes, amesema mafanikio tuliyopata msimu wa 2020/21 yamechangiwa  na umahiri wa wachezaji wetu.

Gomes amesema kutetea ubingwa wa Ligi Kuu, Azam Sports Federation Cup na kufika robo fainali ya ligi ya mabingwa Afrika kumetokana na ubora wa kikosi tulicho nacho.

Licha ya ubora wa kikosi Gomes ameupongeza uongozi wa klabu chini ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Mohamed Dewji na Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez kwa kumpa ushirikiano mkubwa na kufanya mazingira ya kazi yake  kuwa mepesi.

Post a Comment

0 Comments