Gomes promises revenge on Yanga

>


DESPITE taking the Premier League title, Simba SC Head Coach Didier Gomes still remembers his rival Yanga and promises revenge.

The Frenchman is currently on the hunt for his squad for the FA Cup Final against Yanga. The match is expected to be played this Sunday at Lake Tanganyika Stadium in Kigoma region which will bring the teams together.

Gomes has said that the league title they won will not be sweet if they do not beat Yanga for revenge.

Gomes said he had already held a meeting with the players and stressed the importance of the final game he planned to win in order to achieve his revenge goals this season.

"We made a big mistake for our fans in the last league game against Yanga, I know they are enjoying the championship but they still have the pain of losing to Yanga.

"The game between Simba and Yanga is not small, it is big as it is in fifth place in the best match in Africa.

"So we have to get the best results of the victory that will benefit me to set records, to make our fans happy," said Gomes.


Gomes ahaidi kulipa kisasi kwa Yanga


LICHA ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu , lakini Kocha Mkuu wa Simba SC Didier Gomes, bado anawawaza hasimu wake Yanga na akiahidi kulipa kisasi.

Mfaransa huyo hivi sasa yupo katika mawindo makubwa ya kukiandaa kikosi chake kwa ajili ya mchezo wa Fainali ya Kombe la FA dhidi ya Yanga. Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika huko mkoani Kigoma utakaozikutanisha timu hizo.

Gomes amesema kuwa ubingwa wao wa ligi waliouchukua hautakuwa mtamu kama wasipowafunga Yanga kwa ajili ya kulipa kisasi.

Post a Comment

0 Comments