'Let's finish with Yanga SC first' - Onyango


Simba SC defender Joash Onyango has said that they are not currently considering their Champions League game against Kaizer Chiefs but are focusing on the next premier league match against Yanga.

Simba SC is in the quarter-finals of the African Champions League and after the draw on April 30 it is scheduled to play against Kaizer Chiefs of South Africa.

Onyango, who is the first choice for Head Coach, Didier Gomes has said that they are currently not considering the match which is expected to be played between May 14-15 and the return match is expected to be played between May 21-22 at Mkapa Stadium.

"At the moment there is still a match ahead of us before meeting Kaizer Chiefs so our calculations will be on the next match in which we need to win.

"The main thing is to see us get positive results in the match we will play and we are confident we will do well, so the fans must continue to support us," he said.

Simba's next match is on May 8 where they will play against Yanga at Mkapa Stadium.


'Ngoja tumalizane na Yanga kwanza' - Onyango

BEKI kisiki wa kikosi cha Simba SC, Joash Onyango amesema kuwa kwa sasa hawafikirii mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs badala yake wanaweka mkazo kwenye mechi ijayo ya ligi kuu dhidi ya Yanga.

Simba SC ipo hatua ya robo fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika na baada ya droo iliyofanyika Aprili 30 imepangwa kucheza dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.

Onyango ambaye ni chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, Didier Gomes amesema kuwa kwa sasa hawaifikirii mechi hiyo inayotarajiwa kuchezwa kati ya Mei 14-15 na ule wa marudio unatarajiwa kuchezwa kati ya Mei 21-22 Uwanja wa Mkapa.

Post a Comment

0 Comments