John Bocco extends two-year contract with Simba SC

>

 


Captain John Bocco has signed a new two-year contract to remain in our team which will keep him until 2023.

Bocco's contract was due to expire at the end of this season but due to his ability and importance the management has decided to extend his contract.

Bocco joined us from Azam FC in the 2017/18 season and since then we have won the Premier League title three times in a row as we aim to take it for the fourth time.

Apart from the ability he shows on the field, his other qualities are discipline but also a role model in the squad.


John Bocco aongeza mkataba miaka miwili ya kubaki na Simba SC

Nahodha John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia katika timu yetu utakaomuweka  hadi mwaka 2023.

Mkataba wa Bocco ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu huu lakini kutokana na uwezo na umuhimu wake uongozi umeamua kumuongeza mkataba .

Bocco alijiunga nasi akitokea Azam FC msimu wa 2017/18 na tangu wakati huo tumetwaa ubingwa wa Ligi Kuu mara tatu mfululizo huku tukielekea kuchukua mara ya nne.

Post a Comment

0 Comments